Mtunzi: Constantine A Ntanguligwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Constantine A Ntanguligwa
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Constantine Ntanguligwa
Umepakuliwa mara 976 | Umetazamwa mara 3,458
Download Nota Download MidiKiitikio:
Yesu Kristu akalia kwa sauti kuu(II&III; nakusema), Baba,( baba mikononi mwako naiweka roho yangu,unipokee baba na uwasamehe)x2
Mashairi:
1.Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha,wakadhani anamwita Eliya,aje kumuokoa.
2.Wakamnywesha sifongo pia na siki na tuone kam Eliya atamtelemsha, wamdhihaki Bwana Yesu.
3.Baba wasamehe hawa,hawana makosa, hawajui walitendalo wao baba yangu,wasamehe makosa yao.
4.Yatimia yatimia,yaliyonenwa,yale yaliyonenwa na wale manabii,wokovu upate timia.
5.Kosa gani umefanya Ee Yesu,hata kujitoa sadaka malipo ya dhambi zangu,nipe neema nitubu hima.