Mtunzi: Constantine A Ntanguligwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Constantine A Ntanguligwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwaka wa Familia (2014)
Umepakiwa na: Constantine Ntanguligwa
Umepakuliwa mara 1,538 | Umetazamwa mara 4,185
Download Nota Download MidiFamilia takatifu ya mbinguni x2. Mfano bora-kwetu sisi- familia zilizopo duniani za kumpendeza Mungu x2. Ewe mama Maria,pia nawe Yosefu mfanya kazi na Yesu Kristu mtuombee,kwa Mungu baba.
MASHAIRI;
1.Familia imara ni ile iliyojengeka kiroho, wao husali wote pamoja.
2.Familia imara ni ile ambayo amani hudumu hao hupendana daima.
3.Familia ndiyo msingi imara kwa kanisa letu, ndiyo msingi wa maadili.