Mtunzi: Constantine A Ntanguligwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Constantine A Ntanguligwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Constantine Ntanguligwa
Umepakuliwa mara 956 | Umetazamwa mara 3,031
Download Nota Download MidiKiit; Bwana Yesu Kristu,bwana wa mabwana,anatualika sote wenye mioyo safi,tujongee meza yake meza ya bwana. (Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu,hukaa ndani yangu nami ndani yake, anauzima wa milele asema bwana x2)
Mashairi;
1.Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu,anauzima wa milele asema bwana.
2.Yesu toa hofu yangu,bwana kaa ndani yangu,kaa katika moyo wangu milele bwana.
3.Bwana ndiye chakula cha uzima wa milele,tule chakula hiki ndipo tukampokee.
4.Bwana anatualika sote tukampokee,muwe na nyoyo safi ndipo mkampokee.
5.Twende hima hima twende,tukaule mwili wake,una uzima wa milele,wa milele.