Mtunzi: Constantine A Ntanguligwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Constantine A Ntanguligwa
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Constantine Ntanguligwa
Umepakuliwa mara 1,852 | Umetazamwa mara 5,955
Download Nota Download MidiKiit; Usiku Mtakatifu,Bwana Yesu kazaliwa leo,twimbe Aleluya.x2
Mashairi;
1.leo kwa mji wa Daudi amezaliwa, kwajili Yetu, ndiye mwokozi.
2.Na uweza wa kifalme begani mwake,mshauri,wa ajabu,mfalme wa amani.
3.Maria na Yosefu wamsujudu,mwanao,Kristu Yesu,huko bethlehemu.
4.Wachungaji wakaenda kwa haraka,kumlaki,mwokozi,aliyezaliwa.
5.Malaika nao wanashangilia,utukufu,kwa Mungu,juu mbinguni.
6.Tazama na mamajusi wanakwenda,kumpa,zawadi,mwan wa Mungu.
7.Usiku wa manane kweupe kwa nini,nyimbo zaimbwa,leo mbinguni.
8.Salam salam Yesu tumwambie,twendeni,bethlehemu,tukamsalimu.
9.Shangilieni ee ndugu kwa kuimba,Aleluya,Aleluya,Kristu kazaliwa.