Ingia / Jisajili

Bwana Amefufuka katika Wafu

Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Nivard Silvester

Umepakuliwa mara 24 | Umetazamwa mara 166

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Pasaka

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Bwana amefufuka katika wafu kama alivyosema x2 Wote tushangilie na kufurahi kwa maana yeye hutawala milele aleluya x2 Maimbilizi: 1. Hakika Bwana Yesu amefufuka (kwelikweli) tushangilie na kufurahi aleluya 2. Kaburi liko wazi ameshinda (mauti) tushangilie na kufurahi aleluya.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa