Maneno ya wimbo
Kiitikio:
Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele x2
Maimbilizi:
1. Umehimidiwa Ee Bwana Mungu wa Baba zetu, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele
2. Limehimidiwa jina lako takatifu tukufu, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele
3. Umehimidiwa katik hekalu la fahari yako takatifu, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele
4. Umehimidiwa juu ya kiti cha ufalme wako, wastahahili kusifiwa na kutukuzwa milele
5. Umehimidiwa utazamaye vilindi uketiye juu ya makerubi, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele
6. Umehimidiwa katika anga la mbinguni, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu