Ingia / Jisajili

Bwana Anakuja Awahukumu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 646 | Umetazamwa mara 1,043

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 33 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana anakuja anakuja awahukumu mataifa Bwana anakuja anakuja awahukumu mataifa kwa haki

1. Mwimbieni Bwana zaburi kwa kinubi kwa kinubi na sauti ya zaburi kwa panda na sauti ya baragumu shangilieni mbele za Mfalme Bwana

2. Bahari na ivume na vyote viijazavyo ulimwengu nao wanaokaa ndani yake mito na ipige makofi milima na iimbe kwa furaha mbele za Bwana

3. Kwa maana Bwana anakuja aihukumu nchi anakuja anakuja aihukumu nchi atauhukumu ulimwengu kwa haki na mataifa kwa adili

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa