Ingia / Jisajili

Ee Bwana Yote Uliyotutendea

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 1,751 | Umetazamwa mara 3,138

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki kwa kuwa sisi tumetenda dhambi wala hatukuzitii amri zako ulitukuze jina lako na kututendea sawa sawa na wingi wa huruma zako X2

1. Sheria ya Bwana ni kamiifu huiburudisha nafsi ushuhuda wa Bwana ni amini humtia mjinga hekima

2. Ee Bwana unijulishe njia zako unifundishe mapito yako uniongoze katika kweli yako na kunifundisha

3. Ee Bwana unihukumu unitetee kwa taifa lisilo haki uniokoe na mtu wa hila asiye haki

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa