Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Miito
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 12 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 12 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 12 Mwaka C
Bwana asema mimi ndimi mchungaji mwema nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo wangu X2
1. Ndimi mchungaji nao walio wangu nawajua nao wanijua mimi
2. Ndimi mchungaji mwema mchungaji mwema hutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo
3. Ndimi mlango mtu akiingia kwa mimi ataokoka naye atapata malisho