Ingia / Jisajili

Pasaka Wetu Amekwishakutolewa No. 2

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 77 | Umetazamwa mara 126

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Mkesha wa Pasaka
- Antifona / Komunio Dominika ya Pasaka

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Pasaka wetu amekwishakutolewa kuwa sadaka yani Kristo)

Basi na tuifanye karamu kwa yasiyochachika ndio weupe weupe wa moyo na kweli aleluya X2

1. Basi jisafisheni mkatoe ile chachu chachu ya kale

2. Mpate kuwa donge jipya kama vile mlivyo hamkutiwa chachu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa