Ingia / Jisajili

NITAKUPA NINI MUNGU

Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Shukrani

Umepakiwa na: Halisi Ngalama

Umepakuliwa mara 663 | Umetazamwa mara 2,976

Download Nota
Maneno ya wimbo
  • Kiitikio

Nitakupa nini Bwana kwa mema unayonitendea(mimi) inanipasa kukushukuru kwa wema wakox2

Ninakuja mbele yako kukupa shukrani yangu baba naomba uipokeex2

1.Ipokee nafsi yangu ibariki nauitakase nafsi yangu yakungoja wewe peke yako

2.Nitakupa nini mimi sioni kitu cha kukulipa nakuomba upokee shukrani yangu

3.Upokee fedha yangu iwe kama shukrani kwako nashukuru Mungu wangu kwa rehema zako


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa