Ingia / Jisajili

Bwana libariki Kanisa

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 333 | Umetazamwa mara 1,452

Download Nota
Maneno ya wimbo

Bwana libariki, libariki kanisa hili ambamo wana wako tutakusanyika, kutokaa maombi na kukusifu wewe. x2

  • 1. Bwana ibariki nyumba yako takatifu, mahali pa sala, tutakapoingia kukusujudia wewe.
  • 2.Nyumba yako Bwana ni nyumba takatifu, nyumba ya sala, tutakamotolea sala na maombi yetu.
  • 3.Wote watakao ingia nyumba hii, kukusujudia, uwajaze baraka Ee Baba twakuomba.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa