Ingia / Jisajili

Kwa Furaha Mtateka Maji

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 976 | Umetazamwa mara 2,235

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Basi kwa furaha mtateka maji katika visima (visima) katika visima (visima) katika visima vya wokovu x2

1. Tazama Mungu ndiye wokovu wangu, nitatumaini wala sitaogopa maana Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, basi kwa furaha mtateka maji, katika visima vya wokovu.

2. Na katika siku hiyo siku hiyo mtasema, mshukuruni Bwana liitieni jina lake, yatangazeni matendo yake kati ya mataifa, litajeni jina lake kuwa limetukuka.

3. Mwimbieni Bwana kwa kuwa ametenda makuu, na yajulikane haya katika dunia yote, paza sauti piga kelele, maana mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako


Maoni - Toa Maoni

Richard Maganga Ernest Mar 25, 2021
Nyimbo nzuri sana

Toa Maoni yako hapa