Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 489 | Umetazamwa mara 1,982
Download Nota Download MidiFuraha chereko vifijo pande zote zimetawala, Vigeregere nazo nyimbo pande zote zinasikika, ae (tuimbe tucheze), (tucheze kwa madaha tuimbe kwa furaha Mwokozi wetu leo kafufuka kweli ni mzima x2)
1.Kama alivyosema, atafufuka siku ya tatu, ametangulia Galilaya mtamuona.
2.Ameleta ukombozi, ameleta na matumaini, simba aunguruma wanyama wamekimbia.
3.Mwokozi kafufuka twimbe Aleluya, minyororo ya kuzimu Yesu ameikata kuzimu kimya, kimya shetani kimya na jeshi lake wameanguka chini Yesu mshini.