Ingia / Jisajili

Bwana Ni Mfalme

Mtunzi: John N. Lujukano
> Tazama Nyimbo nyingine za John N. Lujukano

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: MASOLWA JUMA

Umepakuliwa mara 421 | Umetazamwa mara 780

Download Nota
Maneno ya wimbo
Bwana ni Mfalme Bwana ni Mfalme ni Mfalme amejivika taji. x2 Maimbilizi: 1. Bwana ametamalaki amejivika adhama, Bwana amejivika amejivika na kujikaza nguvu. 2. Naam ulimwengu umethibitika usitikisike, kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani, wewe ndiwe uliye tangu milele. 3. Shuhuda zako ni amini sana utakatifu ndio uifaao nyumba yako milele milele na milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa