Ingia / Jisajili

Tunakushukuru Bwana

Mtunzi: John N. Lujukano
> Tazama Nyimbo nyingine za John N. Lujukano

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: MASOLWA JUMA

Umepakuliwa mara 161 | Umetazamwa mara 523

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tunakushukuru Bwana kwa mema unayotujalia Bwana Asante x 2. Unatulinda mchana unatulinda usiku pia uhai watujalia Asante Bwana twashukuru x 2. 1 (a). Mwili wako Ee Bwana ni uzima wetu, (b). Damu yako Ee Bwana ni uzima wetu, asante Bwana twashukuru. 2 (a). Mema watujalia hayana kipimo, (b). Ajali watukinga hazina kipimo, asante Bwana twashukuru. 3 (a). Nakuomba Ee Bwana maisha marefu, (b). Niimbe sifa zako, siku zote Bwana, nikusifu Bwana siku zote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa