Ingia / Jisajili

ULIMI WANGU NA UGANDAMANE

Mtunzi: John N. Lujukano
> Tazama Nyimbo nyingine za John N. Lujukano

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Bonaventura M. Apolinary

Umepakuliwa mara 246 | Umetazamwa mara 774

Download Nota
Maneno ya wimbo
Ulimi wangu na ugandame na kaa kaa na kaa kaa na kaa kaa la kinywa nisipo kumbuka x2 Beti: 1. Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi tukalia tulipoikumbuka Sayuni. 2. Katika miti iliyo katikati yake tulivitundika vinubi vyetu. 3. Tuimbeje wimbo wa Bwana katika nchi ya ugeni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa