Ingia / Jisajili

JINSI HII MUNGU ALIUPENDA

Mtunzi: John N. Lujukano
> Tazama Nyimbo nyingine za John N. Lujukano

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Bonaventura M. Apolinary

Umepakuliwa mara 327 | Umetazamwa mara 730

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Jinsi hii Mungu aliupenda Ulimwengu x2, Hata akamtoa mwanawe wa pekee ili kila mtu amwaminie awe na uzima wa milele x2. Mabeti: 1. Maana Mungu hakumtuma mwanawe ulimwenguni kuhukumu ulimwengu bali aukomboe.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa