Ingia / Jisajili

NJONI TUABUDU

Mtunzi: John N. Lujukano
> Tazama Nyimbo nyingine za John N. Lujukano

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Bonaventura M. Apolinary

Umepakuliwa mara 214 | Umetazamwa mara 806

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Njoni tuabudu tusujudu tupige magoti mbele za Bwana aliyetuumba x2 Mabeti: 1. Yeye ni Mungu wetu njoni tuabudu 2. Yeye Muumba wetu njoni tuabudu 3. Yeye Mfalme wetu njoni tuabudu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa