Ingia / Jisajili

Uwe Kwangu

Mtunzi: John N. Lujukano
> Tazama Nyimbo nyingine za John N. Lujukano

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: MASOLWA JUMA

Umepakuliwa mara 189 | Umetazamwa mara 541

Download Nota
Maneno ya wimbo
Uwe kwangu mwamba wa nguvu yangu, uwe kwangu mwamba wa nguvu yangu nyumba yenye maboma ya kuniokoa x 2. Maimbilizi: 1. Ndiwe gwenge langu na mwokozi wangu ndiwe mwamba wangu unichunge. 2. Kwa ajili ya jina ya jina lako uniongoze unichunge.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa