Mtunzi: Nsolo S. Stephen
> Mfahamu Zaidi Nsolo S. Stephen
> Tazama Nyimbo nyingine za Nsolo S. Stephen
Makundi Nyimbo: Misa | Zaburi
Umepakiwa na: Nsolo Stephen
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 1
Download Nota Download MidiBwana ni nani atakayekaa katika hema yako, Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako X2
Mabeti:
1. Bwana ni nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako Kitakatifu?
2. Nitakaa katika hema yako milele, nitaikimbilia sitara ya mbawa zako.