Ingia / Jisajili

Tunakushukuru Bwana

Mtunzi: Nsolo S. Stephen
> Mfahamu Zaidi Nsolo S. Stephen
> Tazama Nyimbo nyingine za Nsolo S. Stephen

Makundi Nyimbo: Misa | Shukrani

Umepakiwa na: Nsolo Stephen

Umepakuliwa mara 24 | Umetazamwa mara 34

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tunakushukuru Bwana kwa mapaji ulotupa Bwana, tunakushukuru Bwana, Asante. Tunakushukuru kwa mapaji ulotupa, tunakushukuru Bwana Mungu wetu Tunakushukuru kwa uhai na maisha, tunakushukuru Bwana Mungu wetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa