Ingia / Jisajili

Bwana Ni Nani Atakayekaa ....

Mtunzi: Nsolo S. Stephen
> Mfahamu Zaidi Nsolo S. Stephen
> Tazama Nyimbo nyingine za Nsolo S. Stephen

Makundi Nyimbo: Misa | Zaburi

Umepakiwa na: Nsolo Stephen

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako, Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako X2

Mabeti:

1. Bwana ni nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako Kitakatifu?

2. Nitakaa katika hema yako milele, nitaikimbilia sitara ya mbawa zako.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa