Ingia / Jisajili

Mwanakondoo Wa Mungu

Mtunzi: Nsolo S. Stephen
> Mfahamu Zaidi Nsolo S. Stephen
> Tazama Nyimbo nyingine za Nsolo S. Stephen

Makundi Nyimbo: Anthem | Misa

Umepakiwa na: Nsolo Stephen

Umepakuliwa mara 36 | Umetazamwa mara 73

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mwanakondoo wa Mungu uondoaye dhambi za ulimwengu, utuhurumie, tuhurumie X2 Mwanakondoo wa Mungu uondoaye dhambi za ulimwengu utujalie, tujalie amani, tujalie amani, tujalie amani

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa