Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,982 | Umetazamwa mara 5,689
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 16 Mwaka C
Kiitikio:
Bwana ni nani atakayekaa hemani mwako?, Ni mtu aendaye kwa ukamilifu na kutenda haki.
Mashairi:
1. Ni yeye asemaye kweli kwa moyo wake wote, asiyesingizia kwa ulimi wake
2. Ambaye hakumtendea mwenziwe mambo mabaya wala hakumsengenya jirani yake.