Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 2,659 | Umetazamwa mara 8,219
Download Nota Download MidiKiitikio:
Bwana kama wewe ungehesabu maovu nani angesimama?
Mashairi:
1. Lakini kwako kuna msamaha ili wewe uogopwe
2.Nafsi yangu inamngoja bwana kuliko walinzi waingojavyo asubuhi.