Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Anthem
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,124 | Umetazamwa mara 4,822
Download Nota Download MidiTanzania nchi yetu sote, Tanzania ni yetu sote, ni jukumu letu kuidumisha amani yetu.
Tuilinde amani yetu, tudumishe umoja wetu, tudumishe amani yetu ndiyo tunu yetu.
Amani yetu ni nguzo yetu inatupasa tuilinde, tushikamane kuilinda.
Tujivunie amani yetu tujivunie umoja wetu, tofauti zetu zisitugawanye, itikadi zetu zisituyumbishe, tushikamane sote kuzilinda tunu yetu hekima, umoja na amani.
Tuilinde tunu yetu: Tanzania OYE.