Ingia / Jisajili

Bwana Ni Nguvu Za Watu

Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura

Umepakuliwa mara 728 | Umetazamwa mara 2,314

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 12 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 12 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 12 Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

BWANA NI NGUVU ZA WATU [E.D.MUTURA]

Bwana ni nguvu za watu wake; (naye (naye ni ngome) ngome ya wokovu kwa Kristo wake) x2

  1. Uwaokoe watu wako, uwabariki urithi wako, uwachunge, uwachukue milele.
  2. Macho ya watu yakuelekea, nawe huwapa nawe huwapa, chakula chao, huwapa wakati wake.
  3. Atukuzwe Baba na Mwana, naye Roho Mtakatifu, kama mwanzo, sasa na hata milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa