Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 1,827 | Umetazamwa mara 4,431
Download Nota Download MidiBwana ni nuru yangu na wokovu wangu nimwogope nani Bwana ngome ya uzima wangu nimhofu nani x2
1.watesi wangu na adui zangu walijikwaa wakaanguka chini,jeshi lijapokupigana nami moyo wangu hangu hautaogopa
2.vita vijapo nitokea hata hapo nitatumaini neno moja nalitaka kwa Bwana nalo ndilo nitalitafuta
3.nikae nyumbani kwa Bwana siku zote za maisha yangu niutazame uzuri wa Bwana nakutafakari hekaluni mwake