Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Shukrani
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 296 | Umetazamwa mara 1,587
Download Nota Download MidiBwana Yesu akawaambia watu njoni kwangu nyote ninyi nyote msumbukao msumbukao nakulemewa na mizigo na nyi nitawapumzisha
1. jifungeni nira yangu mkajifunze kwangu mimi mpole na mnyenyekevu wa moyo
2.maana nira yangu niwapayo mimi ni laini na mzigo wangu ni mwepesi
3. tumepiga ngoma lakini hamkucheza tumeimba nyimbo za huzuni lakini bado hamkulia