Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pentekoste | Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 663 | Umetazamwa mara 2,186
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 32 Mwaka C
Maombi yangu na yafike mbele zako uutegee ukelele wangu sikio l;ako Ee Bwana
1. Ee bwana Mungu wa wokovu wangu mchana na usiku nmelia mbele zako maana nafsi yangu imeshiba taabu na uhai wangu umekaribia kuzimu