Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 694 | Umetazamwa mara 2,354
Download Nota Download MidiBwana yu karibu na wote wa muitao na wote wamuitao kwa uaminifu kwa uaminifu x2
1. kila siku nitakuhimidi nitalisifu jina lako nitalisifu jina lako milele na milele
2. Bwana anafadhili ni mwingi wa huruma simwepesi wa hasira pia ni mwingi wa rehema
3. Bwana ni mwenye haki katika kazi zake na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote