Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 657 | Umetazamwa mara 1,746
Download Nota Download MidiNitaondoka nitakwenda nitakwenda kwa Baba yangu x2
1. Ee Mungu unirehemu sawa sawa na fadhili zako kiasi cha wingi wa rehemema zako
2. Ee Mungu uniumbie Moyo safi uifanye upya roho yangu iliyotulia ndani yangu
3. Ee Bwana Mungu uifumbue midomo yangu na kinywa changu kitazinena sifa sifa zako milele na milele