Ingia / Jisajili

Bwana & Bibi Harusi

Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA

Umepakuliwa mara 766 | Umetazamwa mara 1,356

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana na bibi harusi hongera, hongera, hongera, hongera bwana na bibi harusi x) kwa kufunga ndoa pingu za maisha hongera hongera X2 beti 1.Twawaombea neema na baraka muishi katika kumpendeza mungu 2. Mvumiliane kwa sabuli na mapendo msali na kuomba kwa kwa mungu mwenyezi 3. Ee Mungu mwenyezi wajalie hawa waishike vema sakrament ya ndoa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa