Ingia / Jisajili

UTUHURUMIE SISI WADHAMBI

Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA

Umepakuliwa mara 168 | Umetazamwa mara 792

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana mungu tunakuomba utuhurumie sisi wadhambi x2) Ewe mkombozi ewe mkombozi mtukufu tunaungama kwako bwana utuhurumie x2 BETI 1. Ee Bwana Mungu wetu wa wokovu wetu, tunakulilia mchana na usiku tunaomba huruma yako Bwana utuhurumie 2. Ndiwe msamaha wa maovu yetu ndiwe mponyaji wa magonjwa yote tunaomba ............. 3. Twakuomba Ee Bwana uyafute makosa utuoshe kabisa na uovu wote tunaomba .................. 4. Twakukimbilia wewe ndiwe kimbilio letu twakutumaini wewe ndiwe tumaini letu tunaomba........

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa