Ingia / Jisajili

EE BWANA FADHILI ZAKO

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 224 | Umetazamwa mara 684

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA FADHILI ZAKO R/ Ee Bwana fadhili zako, zikae nasi, kama vile tulivyokungoja wewe Bwana. 1.Neno lake Bwana Mungu, lina adili,nayo kazi uitenda kwa uaminifu. 2.Yeye huzipenda haki nayo hukumu,nchi yote imejaa fadhili za Bwana. 3.Jicho lake Bwana lipo, kwa wamchao, wote wazingojeao fadhili za Bwana. 4.Huwaponya nafsi zao nayo mauti, na wakati wenye njaa, huwauisha. 5.Nafsi zetu zamngonja mwenyezi Mungu, kwa sababu yake Bwana, tunafurahi. 6.Jina lake takatifu, tumaini letu, yeye ndiye msaada wetu, ndiye ngao yetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa