Ingia / Jisajili

Ee Bwana ulimwengu wote

Mtunzi: Wilbard D.s
> Mfahamu Zaidi Wilbard D.s
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilbard D.s

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Wilbard deograsias

Umepakuliwa mara 250 | Umetazamwa mara 738

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka C
- Mwanzo Dominika ya Matawi
- Mwanzo Pentekoste
- Katikati Dominika ya 31 Mwaka C
- Katikati Epifania
- Katikati Kutolewa Bwana Hekaluni
- Katikati Kupaa kwa Bwana
- Katikati Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka A
- Katikati Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka B
- Katikati Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka C
- Katikati Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka A
- Katikati Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Usiku)
- Antifona / Komunio Kuzaliwa kwa Bwana (Mkesha)
- Antifona / Komunio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Alfajiri)
- Antifona / Komunio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Mchana)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana ulimwengu u katika uwezo wako (wala hakuna)  wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda


Mashairi.

1.wewe Bwana umeumba vitu vyote vilivyomo , navyo vya mbinguni, ndiwe Bwana wa vyote navyo vinakutii

2.kwakuwa Bwana ni mkuu na mwenye kusifiwa  na wakuhofiwa maana miungu ya watu sio kitu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa