Ingia / Jisajili

Karamu Takatifu

Mtunzi: Wilbard D.S
> Mfahamu Zaidi Wilbard D.S
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilbard D.S

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Wilbard deograsias

Umepakuliwa mara 168 | Umetazamwa mara 608

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio. Karamu ya Bwana sasa ndugu ipo tayari, ametuandalia sote twende tukashiriki, tukale tunywe damu yake tupate uzima milele Mashairi 1. Mkate mtakatifu ni mwili wa Yesu, na kikombe cha divai ni damu yake, twendeni tukashiriki karamu yake Bwana Yesu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa