Mtunzi: Wilbard D.S
> Mfahamu Zaidi Wilbard D.S
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilbard D.S
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Wilbard deograsias
Umepakuliwa mara 173 | Umetazamwa mara 1,098
Download Nota Download MidiTwashukuru Mungu wa mbinguni kutulisha chakula, twashukuru Mungu wa mbinguni kutunywesha kinywaji, mwili na damu yako (kweli) ni chakula bora kulisha roho zetu. Tunapata uzima (wa kweli) tukiwa na wewe e Bwana Mungu wetu