Mtunzi: Wilbard D.S
> Mfahamu Zaidi Wilbard D.S
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilbard D.S
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Wilbard deograsias
Umepakuliwa mara 740 | Umetazamwa mara 2,438
Download Notaleo ni shangwe leo ni shangwe kigangoni kwetu,leo ni shangwe leo ni shangwe kwenye kwaya yetu.tunaadhimisha sikukuu tukimkumbuka mtakatifu Theresia wa mtotoYesu, yeye ndiye muombezi wetu siku zote, msimamizi na mlezi wa kwaya yetu