Mtunzi: Wilbard D.S
> Mfahamu Zaidi Wilbard D.S
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilbard D.S
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Wilbard deograsias
Umepakuliwa mara 428 | Umetazamwa mara 1,328
Download Nota Download MidiKiitikio
Mimi ni nani nisinyanyuke kumtolea Mungu, vyote nilivyonavyo nimevipata kutoka kwake x2 Amenipa uwezo wa kutafuta ridhiki, akanipa na nguvu ninaishi kwa amani, ninanyanyuka nikatoe sadaka yangu.
1.niwapo kwenye shida namlilia Mungu, na Mungu wangu asikia maombi yangu, napata niombacho na baraka tele, kwanini nisitoe kumshukuru Mungu
2.mazao tulimayo na juhudi zetu, yote tumeyapata kwa neema za Mungu, fedha tulizo nazo pia ni za kwake, kwanini tusirudishe shukrani kwake.