Mtunzi: Wilbard D.S
> Mfahamu Zaidi Wilbard D.S
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilbard D.S
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Wilbard deograsias
Umepakuliwa mara 326 | Umetazamwa mara 1,229
Download Nota Download MidiShairi 1.
Naja kwako Bwana Yesu niuonje upendo wako kwangu, uwe wangu niwe kwako niupate uzima wa milele
Kiitikio
Ingia kwangu (Bwana Yesu) unishibishe kwa mwili wako na damu yako niupate uzima wa milele