Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Valentine Ndege
Umepakuliwa mara 176 | Umetazamwa mara 1,107
Download Nota Download MidiNawe (Bwana) ukanisamehe upotovu, upotovu wa dhambi yangu.
1. Heri aliyesamehewa dhambi na kusitiliwa makosa yake x2.
2. Heri Bwana asiyemhesabia upotovu, ambaye rohoni mwake hamna hila.
3. Nalikujulisha dhambi yangu, wala sikuuficha upotovu wangu