Ingia / Jisajili

Tumezitafakari Fadhili

Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Deogratius Didas

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 5

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tumezitafakari fadhili katikati ya hekalu lako.

1. Kama lilivyo Mungu jina lako ndivyo na sifa yako ata miisho ya dunia.

2. Mkono wako wa kuume umejaa haki na ufurahi mlima sayuni.

3. Binti za yuda na washangilie tena kwa sababu ya hukumu zako.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa