Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Stanslaus Butungo
Umepakuliwa mara 971 | Umetazamwa mara 3,274
Download Nota Download MidiEe Bwana Uwape Amani x2 uwape amani wakungojao, ili watu wawa sadiki, Ili watu wawasadiki wawasadiki manabii wako x2
1. uisikilize sala sala ya mtumwa wako, na ya taifa lako taifa lako Israeli.
2. Uuonee huruma mji mtakatifu wako, Uijaze Sayuni uijaze adhama yako