Ingia / Jisajili

Wewe Bwana U Mwema 2

Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Stanslaus Butungo

Umepakuliwa mara 335 | Umetazamwa mara 1,446

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KWA MAANA WEWE BWANA.

Kwa maana we-we Bwana u mwema, umekuwa tayari kusamehe, na mwingi wa fadhi-li kwa watu wote wanaokuita, wakuitao Ee Bwana x2.

  1. Ee Bwana uyasikie maombi yangu uisikilize sauti yangu, masikio yako yaisikile sauti ya kilio changu
  2. Mataifa ulowafanya watakuja wa-takusujudia Ee Bwana, watalitukuza jina lako kuu maana wewe ndiwe mkuu
  3. Lakini we-we Bwana ni mwenye rehema mvumilivu na mwingi wa fadhili na kweli, unielekee, na kunifadhili, nakunifa-dhili mimi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa