Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Majilio | Mwanzo
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 510 | Umetazamwa mara 2,006
Download Nota Download MidiNAMI NIMEZITUMAINIA FADHILI ZAKO
KIITIKIO:Nami nimezitumainia fadhili,fadhili zako x2,moyo wangu na ufurahie wokovu wako,moyo wangu na ufurahie wokovu wako x2
MASHAIRI:
1.Naam nimwimbie nimwimbie Bwana kwa kuwa amenitendea amenitendea kwa ukarimu.
2.Adui yangu asije akasema nimemshinda watesi wangu wasifurahi ninapoondoshwa.