Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura
Umepakuliwa mara 528 | Umetazamwa mara 2,371
Download NotaKIITIKIO:
Mtakatifu Bakhita somo wetu na msimamizi wetu, utuombee katika utume wetu huu. X 2
MASHAIRI:
1.( a) Tuidumishe Kwaya yetu kwa moyo wa Ibada, (b) Tupate utakatifu kwa njia ya kuimba.
2. (a) Tufuate mfano wa-ko kwa matendo yetu mema, (b) Tuikiri Imani yetu bila kusitasita.
3. (a) Tuzipaze sauti ze-tu tumsifu Mungu wetu, (b) Kwa vinanda na baragumu tumsifu Mungu wetu.