Ingia / Jisajili

Miisho Yote Ya Dunia

Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura

Umepakuliwa mara 1,181 | Umetazamwa mara 3,345

Download Nota
Maneno ya wimbo

MIISHO YOTE YA DUNIA [E.D.MUTURA]

Miisho yote ya dunia(imeuona, imeuona) imeuona wokovu(imeuona wokovu) imeuona wokovu wa mungu wetu x2

  1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya kwa maana ametenda maajabu, mkono wa kuume wake mwenyewe, mkono wake Mtakatifu umemtendea wokovu.
  2. Bwana ameufunua, wokovu machoni pa mataifa, ameidhihirisha haki yake,amezikumbuka rehema zake na uaminifu wake.
  3. Mshangilieni Bwana, mshangilieni Bwana nchi yote, inueni sauti imbeni kwa furaha, imbeni kwa furaha imbeni imbeni zaburi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa