Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 1,699 | Umetazamwa mara 3,467
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka C
EE MUNGU UNIOKOE
Ee Mungu uniokoe, ee Mungu uniokoe, ee Bwana unisaidie hima X2.Ndiwe msaada wangu, na mwokozi wangu, ee Bwana usikawie kunisaidia X2.
MASHAIRI:
1.Waaibike wafedheheke wanaoitafuta nafsi yangu,warudishwe nyuma watahayarishwe.
2.Washangilie wakufurahie waupendao wokovu wako,waseme daima atukuzwe Mungu.
3.Nami ni maskini na mhitaji ee Mungu unijilie kwa haraka,ndiwe msaada wangu ee Bwana usikawie.